MPIRA una matokeo ya kikatili ambayo yanapoteza furaha na kuacha ganzi kubwa ndani ya mioyo ya mashabiki, viongozi pamoja na wachezaji kwa kupata kile ambacho hawakukitaraji awali.
Tumeona namna ilivyokuwa ngumu kwa timu zetu kimataifa ambazo zimecheza michezo yake ya marudiano kwenye uwanja wa nyumbani kwa kushindwa kufurukuta licha ya sapoti kubwa na mashabiki wao pamoja na uzoefu wa matumizi ya uwanja wa nyumbani.
Timu ambazo zilikuwa zinapewa nafasi ya kusonga mbele kiulaini hasa baada ya kupata matokeo ambayo yalikuwa yanatoa matumaini kwamba uwezekano wa kusonga mbele ni mkubwa na upo mikononi mwao zimevurunda.
Simba na KMC kiukweli zimeacha mashabiki katika hali ambayo hawaamini kile ambacho wanakiona kutokana na kushindwa kutimiza yale matarajio ya wengi wakiwa uwanja wa nyumbani.
Kupoteza kwa KMC kwa kukubali kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya AS Kigali kulitoa imani kwa mashabiki kwamba kazi itamalizwa na Simba ambao wana uzoefu na michuano ya kimataifa na kuuwezea uwanja wa Taifa.
Mwisho wa siku nao wanapoteza kwa kukubali kufungana bao 1-1 na UD do Songo uwanja wa nyumbani wageni wanapita kwa faida ya bao la ugenini, inaumiza lakini ni lazima tujifunze kuyakubali matokeo.
Kwa kupoteza nafasi ya kusonga mbele kwa timu hizi mbili zikiwa nyumbani ni darasa tosha kwamba mpira unahitaji utulivu na umakini nje na ndani ya uwanja.
Timu zetu zilijisahau na kufikiri kwamba zimemaliza kazi mapema jambo ambalo limewapa wageni faida na kupata nafasi ya kusonga mbele hili ni darasa kwa timu zetu wakati ujao zifanye maandalizi vema.
Ukitazama kwa namna ambavyo KMC na Simba kwenye upande wa usajili namna ambavyo wameboresha vikosi vyao kwa kufanya sajili makini ambazo walitarajia zitawapa matokeo chanya na mwisho wa siku wamepotea haileti afya kwenye soka.
Haina maana kwamba hawajafanya jambo kubwa kwenye michuano ya kimataifa, hapana kisaikolojia wote kwa sasa wamepoteza ile imani na wamebaki na sononeko kubwa ndani ya moyo.
Achana na Yanga, Azam FC pamoja na Malindi hawa furaha yao ipo sawa na maisha kwao yanaendelea bila tatizo lolote isipokuwa kwa hawa ndugu zetu waliopoteza.
Rai yangu kwa sasa wanapaswa watulie waache dhana ya kuanza kufikiria kumtafuta mchawi ni nani aliyesababisha matokeo ya namna hii yatokee kwao tena kwenye uwanja wa nyumbani.
Wajipange kisaikolojia na kukubali kwamba haya ni matokeo ya mpira kama ambavyo wao waliweza kulazimisha sare ya kutofungwa wakiwa ugenini ndivyo ambavyo wageni wameweza kulazimisha kile ambacho walikuwa wakihitaji wakiwa ugenini pia.
Wasijivuruge kwa sasa na kuanza kunyooshena vidole eti kwa sababu wameshindwa kuvuka hatua inayofuata, huu ni mpira unadunda na matokeo yake yanakuwa kama ambavyo inatokea.
Ikitokea hivyo wakaruhusu kuanza kumtafuta nani ambaye amesababisha wakapoteza mchezo wao watapoteza kila kitu ambacho walikuwa nacho awali kwenye mikono yao.
Kwa Simba ambao ni mabingwa watetezi wakiruhusu mdudu huyo awatawale kichwani basi kuna uwezekano wakashindwa kufanya vema tena kwenye ligi na nafasi yao ya kulitetea taji la ubingwa itakuwa mashakani.
KMC nao uwezo wao walionao wakiruhusu mdudu huyo wa kumtafuta mchawi nani watapotezana kisaikolojia na wataikosa hata nafasi ya nne ambayo waliipata msimu uliopita ndani ya ligi ambayo imeshaanza kuwasha moto.
Azam FC, Yanga na Malindi ya visiwani Zanzibar kwa sasa zimeshikilia furaha za mashabiki zinapaswa zijifunze kupitia kwa ndugu zao ambao wameshindwa kufurukuta.
Kazi kubwa mikononi mwao ni kuona kwamba zinatinga hatua za mbali kwenye michuano hii ambapo msimu uliopita mafanikio ya Simba ambayo imetolewa kwenye michuano ya kimataifa ilikuwa ni chanzo kwao kushiriki.
Kazi yao kwa sasa itakuwa ni kufuta ile ganzi ya mashabiki wote kwa kupambana kupata matokeo chanya wakiwa ugenini na nyumbani bila kupuuzia wapinzani wao.
Makosa ambayo wameyafanya ndugu zao iwe ni darasa kwao kwa ajili ya kutafuta ushindi wasiyarudie na badala yake wayarekibishe na kuyafanyia kazi haraka.
Mpira kwa sasa umebadilika ile hofu ya kushindwa ugenini haipo tena na badala yake sayansi inatumika katika kila idara na timu iliyojiaandaa vema kisaikolojia na kiakili ina nafasi ya kushinda hasa ukizingatia kwamba mpira ni mbinu.
Wachezaji wajifunze kuwa na nidhamu kwa kila mchezo ambao watakuwa wanacheza bila kujali kwamba watakuwa nyumbani ama ugenini.
Mahabiki kukubali matokeo ya uwanjani na kuendelea kutoa sapoti kwa timu zetu kwani bado mashindano yanaendelea na wahenga wanasema kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi.
Maisha lazima yaendelee na mapambano bado hayajafika mwisho nafasi ya kujipanga kwa ajili ya wakati ujao ipo na inawezekana kurejea kwa nguvu mpya na kupata matokeo chanya kitataifa na kimataifa.
kwa kupata update nyingi zaidi usiache kushare page yetu ili kuwa wa kwanza kupata habari mpya
BLOGGER LINK
https://www.blogger.com/rearrange?blogID=5997489750482377630§ionId=crosscol&action=editWidget&widgetType=HTML&referrer=directory
Wednesday, September 4, 2019
SIMBA NA KMC KUMTAFUTA MCHAWI
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE MJAMZITO LINA FAIDA
Kuna watu wamekua wakiuliza mara kwa mara kama inaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka umri gani wa mimba au ni sahihi kufanya tendo la ndoa kipindi cha ujauzito? maswali yalikua mengi sana hivyo leo nimeamua nijibu maswali hayo na makala hii.
Mwanamke akiwa na mimba anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa hata kama anatarajia kuzaa kesho yake, hakuna tatizo lolote linalomzuia kufanya hivyo, baadhi ya wanawake wamekua wazito sana kufanya hivyo kwa kua na sababu mbalimbali za kujitetea bila kujua kwamba wanazikosa faida hizi ambazo ni muhumu kiafya. Faida zenyewe ni kama zifuatazo;
Husaidia uchungu mzuri na kupona mapema; kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa huambatana na kubana kwa misuli ya nyonga hii husaidia kuweka imara misuli ya nyonga ambayo ni muhimu sana wakati wa kusukuma mtoto na baada ya kuzaa kwani misuli hii ikiwa legevu mwanamke huweza kushindwa kuzaa kwa njia ya kawaida na hata baada ya kuzaa huweza kushindwa kuzuia mkojo usitoke wenyewe au kuvuja damu kwa muda mrefu.
Hupunguza kwenda ovyo kukojoa au kujikojolea; wakati wa ujauzito mtoto anapozidi kua mkubwa anazidi kukandamiza kibovu cha mkojo, hii humfanya mama aende chooni kukojoa mara kwa mara na wakati mwingine hata akipiga chafya au kukohoa basi mkojo unaweza kutoka wenyewe. tendo la ndoa huibana misuli ya nyonga na kuzuia hali hii.
Huzuia uwezekano wa kupata kifafa cha mimba; Tafiti zinaonyesha kwamba aina ya protini inayopatikana kwenye mbegu za mwanaume huongeza kinga ya mwili na kuzuia uwezekano wa kupata kifafa cha mimba ambacho kinaua wanawake wengi sana.
Hutibu tatizo la kufika kileleni kwa shida; K ipindi cha ujauzito chuchu za mwanamke na kinembe chake huvimba na kuongezeka hisia mara dufu huku kiwango cha homoni za oestrogen kikiwa juu sana, hii humfanya kufika kileleni kirahisi sana kuliko mwanzoni.
Huwapa uwezo wa kujiamini; Kipindi cha ujauzito mwanamke hua anapata hofu sana na kutojiamini na mwili wake, hua na wasiwasi kwamba mwili wake unaharibika hivyo kitendo cha mwanaume wake kuendelea kushiriki naye tendo la ndoa humpa kujiamini kwamba mwili wake bado uko kwenye hali nzuri na anapendwa.
hupunguza msongo wa mawazo ; Kipindi cha ujauzito wanawake wengi huwaza sana kuhusu kesho yao…je swala la uchumi litakuaje? mwili wangu utakuaje? je ntapata jinsia nayotegemea? na kadhalika.. tendo la ndoa hutoa homoni ya upendo kwa jina la oxytocin, homoni hii hupunguza mawazo na kumpa amani mjamzito.
huongeza upendo na mshikamano kati ya wapenzi; Katika hali ya kawaida wanandoa wakikwazana wanaweza wakapatana kwa kushiriki tendo la ndoa tu, amani na upendo kipindi hiki ni muhimu sana kwani kuna mtoto anakuja ambaye anatakiwa kuzaliwa huku baba na mama wakiwa wanapatana.
hukuandaa na uchungu ; Ukishiriki ndoa wakati wa tarehe zilizokadiriwa zimefika unapata homoni moja kutoka kwenye mbegu za mwanaume kwa jina la prostglandin, homoni hii huivisha mlango wa uzazi na kuanza kufunguka taratibu kujiandaa na uchungu.
hutibu tatizo la kukosa usingizi ; Wanawake wengi wajawazito hua na dalili mbalimbali za maumivu na kuumwa sehemu tofauti za mwili na msongo wa mawazo, hii huweza kuwakosesha usingizi kabisa..tendo la ndoa huweza kuwapa usingizi mzuri.
hupunguza presha ya damu; Kipindi cha tendo la ndoa presha ya damu hushuka kwenye kiwango kizuri sana, hii ni muhimu sana kwa wanawake wenye hatari ya kupata kifafa cha mimba kama wanene sana, wenye kisukari au wenye historia za ugonjwa wa presha kwenye koo zao.
mwisho; Hakikisha unatumia staili za tendo la ndoa ambazo hazimuumizi mtoto na mama yaani hakikisha haulilalii tumbo hasa mimba ikiwa kubwa, kuna staili muhimu kipindi hiki kama kuangalia upande mmoja,mwanamke kuja juu au mwanamke kuinama

ESSIEN NA DROGBA WAJIUNGA NA GUARDIOLA NA ZIDANE
Hadithi za Kiafrika Michael Essien na Didier Drogba wamejumuishwa kwenye icons mpya za Timu 20 za Timu mpya.
Nyota wa zamani wa Chelsea ajiunga na Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane, meneja wa Manchester City Pep Guardiola, hadithi za Liverpool Kenny Dalglish na Ian Rush, na icons zingine za mpira wa miguu kwenye uteuzi mpya wa mtu 14.
Essien, aliyejulikana kwa onyesho lake la ubingwa katika uwanja wa kati, alifurahiya kufanikiwa huko Chelsea pamoja na Drogba, ambaye alifunga mabao kadhaa, kwani walisaidia Blues kushinda taji lao la kwanza la Ligi ya Mabingwa Uefa mnamo 2012, na tuzo zingine za ndani.
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
LUKÀKU AIGIZISHIWA MILIO YA NYANI
Sehemu ya kundi la Inter Milan ultras 'Curva Nord' imesisitiza milio ya tumbili inayolenga Romelu Lukaku na mashabiki wa Cagliari haikusudiwa kuwa na ubaguzi wa rangi.
Lukaku, ambaye alisaini Inter kutoka Manchester United mwezi uliopita, alidai hatua za haraka kutoka kwa viongozi wa mpira wa Italia baada ya kudhulumiwa wakati wa ushindi wa Jumapili 2-1.
Jaji asiyetengwa katika kesi ya ubaguzi wa LukakuLukaku: Tunarudi nyuma kwenye ubaguzi wa rangi
Kundi linaloitwa 'L'Urlo Della Nord' linasema Lukaku "lazima aelewe" kwamba - nchini Italia - mashabiki wana "njia tu za kusaidia timu zetu na kujaribu kufanya wapinzani kuwa wa neva" - na hawaamini kuwa wa kibaguzi.

Michezo ya Anga: Kushughulikia ubaguzi wa rangi
Sky Sports inaangazia ubaguzi katika mpira wa miguu, na jinsi tunaweza kuishughulikia. Toleo la hivi karibuni linalenga Waasia wa Uingereza.
Katika taarifa kwenye Facebook, kikundi hicho kilisema: "Hi Romelu, tunakuandikia kwa niaba ya Curva Nord, ndio wale watu waliokukaribisha katika kuwasili kwako Milan. Tunasikitika sana kwa kuwa ulidhani kwamba kilichotokea huko Cagliari kilikuwa cha ubaguzi wa rangi.
"Lazima uelewe kuwa Italia sio kama nchi nyingine nyingi za kaskazini mwa Ulaya ambapo ubaguzi wa rangi ni shida halisi. Tunafahamu kwamba ingeweza kuonekana kuwa ya ubaguzi lakini sio kama hiyo.
"Huko Italia tunatumia" njia "kadhaa tu" kusaidia timu zetu "na kujaribu kuwafanya wapinzani wetu wawe na wasiwasi, sio kwa ubaguzi wa rangi bali ni kuwachanganya.

Romelu Lukaku alifunga bao la ushindi katika ushindi wa 2-1 wa Inter huko Cagliari
"Sisi ni shirika la mashabiki wa makabila mengi na kila wakati tumewakaribisha wachezaji kutoka kila mahali. Walakini, tumekuwa tukitumia njia hiyo na wachezaji wengine wa timu hapo zamani na labda tutaweza baadaye.
"Sisi sio ubaguzi na kwa hivyo sio mashabiki wa Cagliari."
Taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi hayapaswi kuanza katika viwanja vya mpira lakini mashuleni, na kwamba mashabiki wana tabia tofauti katika viwanja vya uwanja kuliko ulimwengu wa nje.
Siku ya Jumanne, jaji wa nidhamu wa ligi ya Italia anasema alihitaji ushahidi zaidi kabla ya kuamua ikiwa Cagliari anapaswa kuadhibiwa suruali hiyo, ambayo jaji Gerardo Mastrandrea hakumtaja kama "ubaguzi wa rangi" katika ripoti yake ya wiki.
Lukaku alibadilisha adhabu ya kushinda ya Inter kwenye mchezo huo, na kisha akapiga chenga kwa mashabiki wa nyumbani nyuma ya goli wakati wanamuelekeza monkey kuimba.
Pia Tazama:
Jaji ambaye hajatengwa katika kesi ya ubaguzi wa Lukaku Lukaku: Tunarudi nyuma kwenye ubaguzi wa rangi Lukaku: Nilihitaji kuondoka United Lukaku chini ya chants za tumbili
0: 23
Conte: Italia inahitaji elimu juu ya ubaguzi wa rangi
Antonio Conte anasema hakusikia milio ya tumbili iliyoelekezwa kwa Romelu Lukaku, lakini anasema unyanyasaji wa rangi ni jambo ambalo watu nchini Italia wanahitaji elimu zaidi.
Antonio Conte anasema hakusikia milio ya tumbili iliyoelekezwa kwa Lukaku, lakini anasema unyanyasaji wa ubaguzi wa rangi ni jambo ambalo watu nchini Italia wanahitaji elimu zaidi juu ya
Mshambuliaji wa zamani wa Everton Moise Kean pia alikuwa chini ya dhuluma za kibaguzi wakati alipocheza dhidi ya Cagliari kwa Juventus msimu uliopita, kama alivyokuwa Blaise Matuidi mwaka uliopita.
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
ZITTO NA LISU WAMKOSHA MAALIM SEIF
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa wameanza kupanga mikakati upya kwa ajili ya kurejea kwenye anga za kimataifa kwa hesabu kali ili wasiangukie pua kama msimu huu.
Simba msimu huu kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imeboronga mwanzoni katika hatua ya awali tofauti na msimu uliopita ambapo walitinga mpaka hatua ya robo fainali jambo lililopelekea kuongezwa kwa idadi ya timu shiriki kutoka mbili mpaka nne kwa Tanzania.
Akizungumza na Saleh Jembe, Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa maumivu waliyoyapata ni sehemu ya darasa kwao jambo linalowapa hasira ya kufanya vema wakati ujao.
“Tumetolewa na michuano inaendelea hili kwetu ni pigo kubwa na kwa mashabiki wetu, hakuna namna ya kukata tamaa mashabiki wanapaswa waukubali ukweli nasi tunajipanga kwa ajili ya msimu ujao.
“Makosa yetu kwa msimu huu yametuponza tukaanguka ndivyo mpira ulivyo kilichobaki ni kuinuka na kuendelea na maisha imani yetu msimu ujao tutafanya vema zaidi ya hapa, mashabiki waendelee kutupa sapoti,” amesema.

SIMBA TUKIRUDI KIMATAIFA KAZI MWANZO MWISHO

Subscribe to:
Posts (Atom)