BLOGGER LINK

https://www.blogger.com/rearrange?blogID=5997489750482377630§ionId=crosscol&action=editWidget&widgetType=HTML&referrer=directory

Friday, August 30, 2019

JUX AWEKA WAZI SABABU YA KUTEMANA NA VANESSA

Nyota wa muziki wa miondoko ya R&B hapa Bongo Juma Jux kwa mara ya kwanza amezungumza juu ya nini kilisababisha kutengana kwake na Vanessa Mdee.
Akifanyiwa mahojiano na Mtangazaji wa Clouds FM kupitia chaneli yake ya YouTube ya Dozen Selection, mkali huyo anayetamba kwa sasa na ngoma ya Sumaku amesema kwamba kuvunjika kwa uhusiano wake na Vanessa kwa mara ya kwanza mwaa 2017 ilisababishwa na picha alizopiga Vanessa na mwanamuziki kutoka Nigeria Ice Prince na kuposti Instagram hazikuwa na taswira nzuri, hali iliyomfanya Jux kupata mshtuko. Vanessa na Ice Price walikuwa wakifanyaVanessa alikuwa amesafiri na nikawa naangalia picha Instagram, nikaona picha kapiga na Ice Prince, na kuna watu nilikuwa nimekaa nao, wanakaniulza sasa picha gani hizi watu wanapiga. Ile mijazo ile. Hapo kulikuwa kumetokea vile vitu vya kina Trey songz. So nikamtext, what is this, futa. Akaniuliza whats wrong with the picture I’m performing. Ni kamwambia hiyo picha sio poa. So mimi nikawa nime ‘panic’ na ile ikasababisha ugomvi mkubwa. Akawa disappointed sana, alikuwa anafanya kazi. Mambo ya wivu. Sasa katika zile hasira nikamwambia katafute boyfriend mwingine. To be honest nilimuonea sana and it was not right. So kile kitu ndiyo kilikuwa chanzo cha kukosana kwetu. Tukaenda miezi tisa bila kuongea kabisa. Jux amesema

No comments:

Post a Comment

ahsante