LICHA ya kutangulia kufunga bao dakika ya 10 leo mbele ya Southampton kupitia kwa Daniel James bado wamekwama kusepa na pointi tatu muhimu.
Dakika ya 58 Southampton walichomoa bao hilo kupitia kwa Jannik Vestergaad na kuwafanya Unted wakubali kugawana pointi mojamoja leo.
Mchezo wa leo ulikuwa na ushindani mkali ambapo imeshuhudiwa kadi nyekundu ikitolewa kwa Kevin Danso wa Southampton dk ya 73.
Huu ni mchezo wa pili United kulazimisha sare katika michezo minne waliyocheza, wameshinda mchezo mmoja pekee mbele ya Chelsea na wamepoteza mchezo mmoja mbele ya Craystal Palace.
kwa kupata update nyingi zaidi usiache kushare page yetu ili kuwa wa kwanza kupata habari mpya
BLOGGER LINK
https://www.blogger.com/rearrange?blogID=5997489750482377630§ionId=crosscol&action=editWidget&widgetType=HTML&referrer=directory
Saturday, August 31, 2019
MAN U BADO INATIA HURUMA
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
Friday, August 30, 2019
MTOTO WA AJABU VIUMBE WA AJÀBU
Ni ajali iliyotokea mwanzoni mwa wiki hii nyuma ya hospital ya rufaa ya Tumbi njia ya kwenda Boko Mlemela...!!!
Nyumba husika iliyoteketea na kila kitu ndani ilikuwa kwenye hatua za mwisho kumalizia kufungwa vifaa vya studio ya kisasa na pengine ya kwanza mkoani Pwani kwa jina la Pwani House of Talents (PHT) mmiliki wake akijulikana kama Phillip Wangwe AKA Wise
Tukio hili ni la jana mchana ambapo moto ulianzia darini wakati kijana mmoja akiwa kajipumzisha chumba cha kupumzikia na mwingine akiwa katoka kwenda kununua maji maeneo hayo hayo
Huyu wa maji aliporejea alikuta nyumba imejaa moshi huku yule aliyepumzika akiwa kapatiwa na usingizi.
Kama angechelewa kurudi kidogo tu.
Mwenzake angefia ndani ama kupata majeraha makubwa.
Basi alimkurupusha wakatoka nje na kuomba msaada kwa majirani.
Mpaka msaada unapatikana moto ulikuwa umeshakolea na hakuna kilichosalimika.
Kitu kilichoacha maswali bila majibu ni
Moto ulikolea haraka mno kama umemwagiwa petrol
Mabaki ya viumbe wawili wa ajabu wanaofanana na binadamu mikono masikio na meno.
Je, hawa viumbe walikuwa darini kulikoanzia moto?
Je, ni vinyamkera ama misukule?
Tunaendelea na uchunguzi baadae tutakuwa eneo la tukio pamoja na polisi. Nitawajuzeni zaidi.
Aliye Karibu anaweza kufika pia, mizoga bado ipo eneo la tukio

HIVI NI KWELI WASHAMBULIAJI WA YANGA HAWANA UBORÀ?
Yanga imeanza kwa kusuasua msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom juzi ikikubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Ruvu Shooting
Kipigo hicho kimekoleza mjadala kuhusu uimara wa kikosi cha Yanga hasa safu yake ya ushambuliaji
Licha ya kufuzu raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa, wapo wanaoamini kuwa Yanga imepita kwa bahati na matumaini ya kusonga mbele ni madogo kutokana na changamoto ya uhaba wa mabao
Wapo waliokwenda mbali zaidi kwa kusema washambuliaji waliosajiliwa na kocha Mwinyi Zahera hawana uwezo wa kuipa mafanikio Yanga, bora walioondoka
Lakini je, ni kweli kuwa washambuliaji waliosajiliwa hawana uwezo?
Hebu tuangalie, wachezaji wapya wanaounda safu ya ushambuliaji ya Yanga ni pamoja na Sadney Urikhob, Juma Balinya, Maybin Kalengo, David Molinga na Patrick Sibomana
Balinya alikuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda msimu uliopita akifunga mabao 24, hakuna shaka juu ya uwezo wake wa kuzifumania nyavu
Molinga alifunga mabao 11 ligi kuu ya Congo msimu uliopita, alizidiwa mabao matano tu na mfungaji bora wa ligi hiyo
Aidha Sadney ambaye ni mshambuliaji aliyecheza timu nyingi, rekodi zinaonyesha amefunga mabao angalau nane kwa kila timu aliyocheza
Sibomana yeye kwa asili ni winga, kazi yake tayari imejitangaza Yanga
Kalengo ni mshambuliaji anayeendelea kukomaa, huyu anapaswa apewe muda zaidi
Lakini hakuna shaka, Balinya, Molinga na Sadney, kinachowasumbua sasa ni ugeni wao
Naamini wakati utafika washambuliaji hao wataanza kufunga
Tofauti na watani zao Simba, Yanga ni kama imeanza kusuka upya timu yake
Zaidi ya robo tatu ya wachezaji wa kikosi cha kwanza ni wapya
Hapa uvumilivu wa mashabiki unahitajika, hakuna shaka, nyota waliosajiliwa Yanga wengi wana uwezo mkubwa
Japo ni kweli wapo wachezaji ambao hawakufikia matarajio ya wengi akiwemo kiungo mshambuliaji Issa Bigirimana
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
RUBY ATANGAZA KUACHANA NA MZAZI MWENZAKE
Kuachwa au kuacha kusikie kwa wengine, usiombe yakukute! Hayo ni maneno ya mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ ambaye juzikati zilisambaa tetesi kuwa ameachana na mzazi mwenzake, Kusah.
Ruby alisema ameamini kuna watu wako macho kuona mwenzao anaachana na mpenzi wake ili wamcheke na kumuanika kwenye mitandao ya kijamii.
“Watu wanadhani kuachana ni rahisirahisi? Kuna watu wako macho kufurahia kile watakachosikia ili wakuanike kwenye mitandao, mimi na mzazi mwenzangu bado tupo sana, watatumbua macho hadi wachoke na kwa taarifa yao tunaongeza mtoto wa pili,” alisema Ruby
Ruby alisema ameamini kuna watu wako macho kuona mwenzao anaachana na mpenzi wake ili wamcheke na kumuanika kwenye mitandao ya kijamii.
“Watu wanadhani kuachana ni rahisirahisi? Kuna watu wako macho kufurahia kile watakachosikia ili wakuanike kwenye mitandao, mimi na mzazi mwenzangu bado tupo sana, watatumbua macho hadi wachoke na kwa taarifa yao tunaongeza mtoto wa pili,” alisema Ruby
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
JUX AWEKA WAZI SABABU YA KUTEMANA NA VANESSA
Nyota wa muziki wa miondoko ya R&B hapa Bongo Juma Jux kwa mara ya kwanza amezungumza juu ya nini kilisababisha kutengana kwake na Vanessa Mdee.
Akifanyiwa mahojiano na Mtangazaji wa Clouds FM kupitia chaneli yake ya YouTube ya Dozen Selection, mkali huyo anayetamba kwa sasa na ngoma ya Sumaku amesema kwamba kuvunjika kwa uhusiano wake na Vanessa kwa mara ya kwanza mwaa 2017 ilisababishwa na picha alizopiga Vanessa na mwanamuziki kutoka Nigeria Ice Prince na kuposti Instagram hazikuwa na taswira nzuri, hali iliyomfanya Jux kupata mshtuko. Vanessa na Ice Price walikuwa wakifanyaVanessa alikuwa amesafiri na nikawa naangalia picha Instagram, nikaona picha kapiga na Ice Prince, na kuna watu nilikuwa nimekaa nao, wanakaniulza sasa picha gani hizi watu wanapiga. Ile mijazo ile. Hapo kulikuwa kumetokea vile vitu vya kina Trey songz. So nikamtext, what is this, futa. Akaniuliza whats wrong with the picture I’m performing. Ni kamwambia hiyo picha sio poa. So mimi nikawa nime ‘panic’ na ile ikasababisha ugomvi mkubwa. Akawa disappointed sana, alikuwa anafanya kazi. Mambo ya wivu. Sasa katika zile hasira nikamwambia katafute boyfriend mwingine. To be honest nilimuonea sana and it was not right. So kile kitu ndiyo kilikuwa chanzo cha kukosana kwetu. Tukaenda miezi tisa bila kuongea kabisa. Jux amesema

SALAH MANE KUCHEZA NA SAMATTA
Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta anayechezea Genk atakuwa na nafasi ya kucheza dhidi ya Liverpool ya England katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ratiba ya michuano hiyo kupangwa jana jioni kwa msimu wa 2019/20.
Katika tukio hilo la upangwaji makundi pia kulitolewa tuzo za michuano hiyo kutokana na ligi ya msimu uliopita. Tuzo zilikuwa hivi: Kipa Bora ni Alisson wa Liverpool, Beki Bora ni Virgil van Dijk (Liverpool), Kiungo Bora ni Frenkie de Jong (Barcelona), Mshambuliaji Bora ni Lionel Messi (Barcelona) na Mchezaji Bora wa Ulaya ni Virgil van Dijk.
Katika tukio hilo la upangwaji makundi pia kulitolewa tuzo za michuano hiyo kutokana na ligi ya msimu uliopita. Tuzo zilikuwa hivi: Kipa Bora ni Alisson wa Liverpool, Beki Bora ni Virgil van Dijk (Liverpool), Kiungo Bora ni Frenkie de Jong (Barcelona), Mshambuliaji Bora ni Lionel Messi (Barcelona) na Mchezaji Bora wa Ulaya ni Virgil van Dijk.
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
Thursday, August 29, 2019
SIMBA TAYARI KISHAELEWEKA HUKU YEYE 1-JKT0
Dak ya 29, kona ishapigwa, goli kiki.
Dak ya 28, faulo inapigwa kuelekezwa JKT, anapiga Chama, inakuwa kona.
Dak ya 26, JKT wameonekana kuwa wagumu eneo la ulinzi, wanawapa wakati mgumu Simba kupenya licha ya kuwa nyuma kwa bao 1-0.
Dak ya 25, Chama anafanyiwa madhambi, gozi linapigwa kuelekea JKT
Dak ya 23, JKT wanapata faulo kushoto mwa uwanja nje ya 18, imepigwa lakini Manula anadaka.
Dak ya 22, Simba wanapasiana kuelekea langoni mwa JKT, mabeki JKT wanaokoa.
Dak ya 21, nafasi nyingine kwa JKT, pigwa shuti kali pale, Manula anadaka.
Dak ya 20, Manula ameodondoka chini baada ya kugongana na mchezaji JKT, mpira umesimama, ushaanza.
Dak ya 19, hatari langoni mwa Simba, pigwa kichwa pale, inaokolewa.
Dak ya 18, faulo kuelekezwa Simba
Dak ya 17, JKT wamekuwa wakiganya mashambulizi ya kushitukiza, japo hali imekuwa ngumu kupata bao.
Dak ya 16, kona kuelekezwa JKT, wanapiga Simba, tayari ishapigwa na inaokolewa na mabeki JKT
Dak ya 15, JKT wanapata nafasi nzuri ya kuandika bao la kusawazisha lakini wanakosa umakini, Manula anadaka kiulaini.
Dak ya 14, shambulizi lingine wanafanya Simba lakini linashindwa kuzaa matunda.
Dak ya 12, mchezaji JKT anatoa mpira nje na unarushwa kuelekea Simba, tayari usharushwa.
Dak 13, tayari JKT wameshaanza, wana mpira eneo lao la ulinzi.
Dak ya 12, faulo inapigwa kuelekezwa Simba baada ya mchezaji JKT kuchezewa madhambi.
Dak ya 11, Manula anarudishiwa mpira nyuma ili kuanza mchezp upya.
Dak ya 11, Simba wanapasiana eneo la kati mwa uwanja wakionekana wana dhamira ya kusaka bao la pili.
Dak ya 10, Chama anafanyiwa madhambi na mpira unaelekezwa JKT
Dak ya 9, kona ya kwanza inapigwa kuelekezwa Simba, imepigwa lakini inakuwa faulo.
Dak ya 8, JKT wanajaribu kufanya shambulio moja lakini ukuta wa Simba unakuwa imara.
Dak ya 5, Simba wameanza kwa mashambulizi makali dakika hizi za mwanzo.
Dak ya 1, Meddie Kagere anaipatia Simba bao la kwanza

Monday, August 26, 2019
REKODI YA DAVID SILVA NI HATARI
DAVID Silva, nyota wa Manchester City amecheza jumla ya mechi 400 tangu ajiunge na kikosi hicho msimu wa mwaka 2010.
Anakuwa mchezaji wa 14 kufikia idadi ya michezo hiyo ndani ya Manchester City na mtu wa mwisho alikuwa ni Paul Power ambaye alicheza jumla ya michezo 445.
Silva amekuwa imara ndani ya City na ametwaa mataji manne ya Ligi Kuu England, mataji mawili ya FA, mataji manne ya League Cup na Ngao mbili za jamii .
Rekodi zake ndani ya Premier League amepiga jumla ya assisti 83 na ametengeneza jumla ya nafasi 745 na amekuwa bora Kwa muda mrefu.
Jana City iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 mbele ya Bournemouth, mabao yao mawili yalifungwa na Sergio Arguero na moja likipachikwa na Raheem Sterling aliyepachika moja na la kufutia machozi kwa Bournemouth ni Harry Wilson.
Anakuwa mchezaji wa 14 kufikia idadi ya michezo hiyo ndani ya Manchester City na mtu wa mwisho alikuwa ni Paul Power ambaye alicheza jumla ya michezo 445.
Silva amekuwa imara ndani ya City na ametwaa mataji manne ya Ligi Kuu England, mataji mawili ya FA, mataji manne ya League Cup na Ngao mbili za jamii .
Rekodi zake ndani ya Premier League amepiga jumla ya assisti 83 na ametengeneza jumla ya nafasi 745 na amekuwa bora Kwa muda mrefu.
Jana City iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 mbele ya Bournemouth, mabao yao mawili yalifungwa na Sergio Arguero na moja likipachikwa na Raheem Sterling aliyepachika moja na la kufutia machozi kwa Bournemouth ni Harry Wilson.
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
YANGA NEWS...
Imeelezwa kuwa ushindi wa Yanga nchini Botswana ulichangiwa na mambo mengi, ikiwamo kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Frederick Mwakalebela kuwazidi ujanja wenyeji wao.
Mmoja wa Watanzania wanaoishi Botswana, Dickson John, aliliambia gazeti la Bingwa kuwa viongozi wa Township Rollers walitishwa na kocha wao, Tomas Trucha, raia wa Jamhuri ya Czech alipowaambia Yanga si timu ya mchezo mchezo hivyo kusuka mikakati kabambe ya nje ya uwanja ili kuwamaliza Wanajangwani hao.
"Walipanga kuwaanza kuwadhibiti Yanga toka uwanja wa ndege hadi hotelini, waliposikia kuna viongozi wa Yanga walishatangulia hapa, walipagawa, wakahofu mambo yao yasijejulikana na kujitia aibu CAF (Shirikisho la Soka Afrika), matokeo yake wakaamua kusubiri matokeo ya uwanjani," alisema.
Watanzania waishio Botswana walikuwa na mchango mkubwa kwani walihaha kushirikiana na Mwakalebela na viongozi wengine wa Yanga kuhakikisha hakuna hujuma yoyote inayofanyiwa timu yao na mwisho wa siku, mshindi apatikane uwanjani kama ilivyokuwa.
"Jana (juzi) baada ya mchezo, viongozi wa Rollers na mashabiki wao, walichanganyikiwa, hawakuamini kilichotokea," alisema John.
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
Sunday, August 25, 2019
Take a look at the website I made with Jimdo! https://binweb.jimdofree.com/
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
ney with messi
http://img2.transcoder.opera.com/assets/v2/806d402715984b7d2f4004b2afa89bc4?source=nlp&quality=uhq&format=webp&resize=720
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
imo app
Let's video chat and text on imo! Get the free app http://imo.im
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
Saturday, August 24, 2019
Kijana mwenye umri wa miaka 35 amefariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye shamba la mahindi na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mjane. Polisi wamemtaja kijana huyo kuwa ni Julius Bor na kwamba, ameaga dunia jana usiku shambani kwenye eneo la Kapsaret katika Kaunti Uasin Gishu nchini Kenya. Imefahamika kwamba, kabla ya tukio hilo, Julius alikuwa baa usiku kwenye Kituo cha biashara cha Chepyakwai akinywa pombe na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina la Janet Misik Cheruto anayedaiwa kuwa na umri wa miaka 50. Inadaiwa kuwa, wapenzi hao walikuwa hapo hadi usiku wa manane na waliondoka pamoja. Kwa mujibu wa Polisi, Julius na Janet walikwenda shambani kufanya mapenzi na wakati wakiendelea na tendo hilo mwanaume huyo alipoteza fahamu na akafariki dunia. Inadaiwa kuwa, Janet amewaeleza Polisi kwenye eneo la tukio namna Julius alivyokuwa akihitaji kufanya mapenzi bila kupumzika baada ya kumeza dawa za kuongeza nguvu za kiume. Janet anadaiwa kuwaeleza wapelelezi kuwa, wakati wakienda nyumbani Julius alikosa uvumilivu akahitaji wafanye mapenzi kwenye shamba la mahindi lakini wakati wakiendelea alianza kuumwa na akafariki dunia. Polisi wamesema, baada ya Julius kupoteza fahamu, Janet alikimbia kwenda kumchukulia maji ya kunywa na aliporudi alimkuta bado hajitambui. Janet alikwenda kutoa taarifa kwa mzee wa kijiji ambaye alitoa taarifa Kituo cha Polisi Kiambaa. Mwili wa Julius umekutwa kwenye shamba la mahindi bila jeraha lolote na umepelewa chumba cha maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Moi, Eldoret kwa ajili ya uchunguzi.
Location:Tanzania
Tanzania
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
NORWICH 2-3 CHELSEA Tammy Abraham alifunga bao moja kwa moja wakati Chelsea walipopiga Norwich mbali na nyumbani ili kunyakua ushindi wa kwanza wa ligi kuu. Mshambuliaji aliyepata nguvu sana aliongoza (3 ') kabla ya kijana wa ndani Todd Cantwell kujibu mgomo mzuri wa miguu. Mason Mount alirudisha safu ya kuongoza kwa (17) dakika ya kumaliza na bao la mapema la sasa Teemu Pukki alinyakua la pili kwa timu ya nyumbani wakati akifunga mabao matano kwa alama ya nusu saa. Katika pambano lililokuwa limejaa barabarani huko Carrow, Abraham alithibitisha tena tabia yake kwa kumshinda mshindi nusu ya pili na mgomo mzuri wa kumpa Frank Lampard ushindi wake wa kwanza wa Ligi Kuu msimu huo. Liverpool wanakaribisha Arsenal baadaye leo kwenye mchezo mkubwa wa siku. Soccer Buzzer
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
Ndizi ni kati ya matunda na vyakula vitamu sana vinavyopendwa katika jamii ya kiafrika. Mbali na utamu wake ni kwamba ndizi husaidia kuongeza nguvu za kiume. Vitamini B na Bromelaini ambazo hupatika kwenye ndizi huchangia kuongezeka kwa homoni fulani ya kufanya mapenzi kwa wanaume. Pia ulaji wa ndizi zinakupa nguvu zaidi inayomstahimilisha mtu anapofanya mapenzi na kumfanya amtosheleze mpenzi wake kimapenzi. Ukweli ni kuwa ndizi uchangia kwa kiasi kikubwa kusafisha mishipa ya damu, kusaidia kupitisha damu na pia hupatia moyo nguvu zaidi. Hivyo basi, ndizi hazisaidii tu kuongeza nguvu za kiume, bali pia huponya wanaume wasio na nguvu za kufanya mapenzi, yaani impotent. Makosa sita ambayo wanaume hufanya kabla ya kufanya mapenzi! Pia, ndizi husaidia kupunguza mrundiko wa mawazo(Stress) ambao huwa ndiyo tatizo kuu la wanaume linalowafanya kutosimamisha mkuki. Hivyo basi kwa njia hii ndizi yaweza boresha utamu wa mapenzi kitandani. Anza kula ndizi kwa wingi . Ukila aghalabu moja kwa siku itakufaa. Na kabla kwenda kukutana na mpenzio, kula ndizi moja au mbili kwa sababu pia harufu yake ni nzuri, mdomo hautanuka https://news-af.dailyactive.info/news/detail/19c5a184399d70fb245b93738b158ceb_tz?features=9&client=mini&like_list=like-laugh&like_count=56&share=1&sharesource=copy_link&shareuid=ad91f4745b38d6550bd824290e81e475dff8c90b
Location:Tanzania
Prince St, Dar es Salaam, Tanzania
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
harmo news
1: Kuruhusu upande wa WCB kutangulia kueleza tofauti yao.
Baada ya Salam SK, kuongea, asilimia kubwa imeshaamini kua Harmo anaondoka WCB kwa jeuri. Kiburi, kujisikia na amekosa fadhila. Itamchukua muda sana kulifuta hili kwenye safari yake. Ukweli hua hauzungumzwi mara mbili.
2: Kumfolow Ali Kiba.
Bila shaka kichwani Harmonize anawaza ukubwa wake utakavyokua baada ya kuondoka WCB. Kwa vyovyote vile ili aupate ukubwa huo ni lazima apambane kusimama juu ya au kufika pale walipo Kiba na Diamond
Bila shaka kichwani Harmonize anawaza ukubwa wake utakavyokua baada ya kuondoka WCB. Kwa vyovyote vile ili aupate ukubwa huo ni lazima apambane kusimama juu ya au kufika pale walipo Kiba na Diamond
Kufika hapo si kwa idadi ya watu wanaosikiliza ngoma zako ila ni kua na idadi kubwa ya watu wako wanaokuamini. Wasanii wengi wameua carear zao kwa kukosa uvumilivu wa kutengeneza mashabiki wao, wengi wamenasa kwenye mtego wa Kiba na Mondi. Ref Baraka da Prince, Rich Mavoko.
Kumfolow Kiba sasa ni ishara ya kutafuta huruma ya upande wa pili. Upande ambao unapambana na upande wa Diamond. Huku anaweza kupata nusu watakaomsapoti lakini lazima ajue kwa upande wa mashabiki wa WCB hakuna atakaemsapoti tena. Ameiweka rehani biashara yake!
3: Kujaribu kuacha 'kivuli chake WCB.' .
.
Ni vyema kuonekana bado anaipenda WCB, lakini kwa faida ya kazi yake na aina ya mashabiki tulionao, Harmo hatakiwi kuihusisha kazi yake na WCB. Kufanya hivyo huenda hili likawa kaburi lake kimuziki.
.
Ni vyema kuonekana bado anaipenda WCB, lakini kwa faida ya kazi yake na aina ya mashabiki tulionao, Harmo hatakiwi kuihusisha kazi yake na WCB. Kufanya hivyo huenda hili likawa kaburi lake kimuziki.
Kuna dhana ya unafki itaanza kumtafuna. Kama alifuta ile kusainiwa WCB, hakukuwa na ulazima wa kuacha neno WCB for Life kwenye Bio yake. Kwa lugha ya Salam SK, Harmo alianza kuivimvimbia menegament yake kabla ya kutoka. Hakuna anayejua nyuma ya kicheko cha Diamond, kuna nini.
.
.
4: Kutaka kuachia wimbo mpya haraka
Hili ni kosa kubwa sana. Saa chache baada ya Salam SK kuongea, Harmo amepost cover kua yuko mbioni kuachia ngoma. Hii ni tension mbaya sana anaitengeneza.
Kwa sababu ya presha ya hivi sasa, wako watakaoichukia kazi yake. Haijalishi ubora wake, Liko sikio litamkataa tu kwa kuonekana ana kiburi cha kushindana.

Iko dhana ya 'KIKI' pia inaweza kuingia. Akaonekana mtu wa drama za mitandao. Hii ni mbaya sana.
NB: Pengine Harmo hajajua kua ni ngumu kuitofautisha WCB na Diamond. Ajipange kwa yote
Mkiniruhusu, baadae nitawaeleza ninachowaza kuhusu Diamond
my life standard is poorhzmmznbbznb nBnbs jsb sjkzjn kßjvßh kshgjsknß iauvßisn
Subscribe to:
Posts (Atom)